Native Bible

Proverbs 19:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo ataangamia.

Proverbs 19:9 in English

Proverbs 19:9 · Berean Standard Bible

A false witness will not go unpunished, and one who pours out lies will perish.

Context

7Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote. 8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi. 9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo ataangamia. 10Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu. 11Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.