Native Bible

Proverbs 19:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi.

Proverbs 19:8 in English

Proverbs 19:8 · Berean Standard Bible

He who acquires wisdom loves himself; one who safeguards understanding will find success.

Context

6Wengi hujipendekeza kwa mtawala na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi. 7Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote. 8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi. 9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo ataangamia. 10Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.