Mithali 19:6
Proverbs 19:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wengi hujipendekeza kwa mtawala na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi.
Proverbs 19:6 in English
Proverbs 19:6 · Berean Standard Bible
Many seek the favor of the prince, and everyone is a friend of the gift giver.
Context
4Mali huleta marafiki wengi,
bali rafiki wa mtu maskini humwacha. 5Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa,
naye amwagaye uongo hataachwa huru. 6Wengi hujipendekeza kwa mtawala
na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi. 7Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote:
Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani!
Ingawa huwafuata kwa kuwasihi,
hawapatikani popote. 8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe,
yeye ahifadhiye ufahamu hustawi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.