Native Bible

Proverbs 19:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote.

Proverbs 19:7 in English

Proverbs 19:7 · Berean Standard Bible

All the brothers of a poor man hate him— how much more do his friends avoid him! He may pursue them with pleading, but they are nowhere to be found.

Context

5Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo hataachwa huru. 6Wengi hujipendekeza kwa mtawala na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi. 7Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote. 8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi. 9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo ataangamia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.