Native Bible

Proverbs 19:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mali huleta marafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha.

Proverbs 19:4 in English

Proverbs 19:4 · Berean Standard Bible

Wealth attracts many friends, but a poor man is deserted by his friend.

Context

2Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa, wala kufanya haraka na kuikosa njia. 3Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake hata hivyo moyo wake humkasirikia Bwana. 4Mali huleta marafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha. 5Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo hataachwa huru. 6Wengi hujipendekeza kwa mtawala na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.