Mithali 19:3
Proverbs 19:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake hata hivyo moyo wake humkasirikia Bwana.
Proverbs 19:3 in English
Proverbs 19:3 · Berean Standard Bible
A man’s own folly subverts his way, yet his heart rages against the LORD.
Context
1Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama,
kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka. 2Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa,
wala kufanya haraka na kuikosa njia. 3Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake
hata hivyo moyo wake humkasirikia Bwana. 4Mali huleta marafiki wengi,
bali rafiki wa mtu maskini humwacha. 5Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa,
naye amwagaye uongo hataachwa huru.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.