Native Bible

Proverbs 19:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa, wala kufanya haraka na kuikosa njia.

Proverbs 19:2 in English

Proverbs 19:2 · Berean Standard Bible

Even zeal is no good without knowledge, and he who hurries his footsteps misses the mark.

Context

1Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka. 2Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa, wala kufanya haraka na kuikosa njia. 3Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake hata hivyo moyo wake humkasirikia Bwana. 4Mali huleta marafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.