Mithali 19:10
Proverbs 19:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu.
Proverbs 19:10 in English
Proverbs 19:10 · Berean Standard Bible
Luxury is unseemly for a fool— how much worse for a slave to rule over princes!
Context
8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe,
yeye ahifadhiye ufahamu hustawi. 9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa,
naye amwagaye uongo ataangamia. 10Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa,
itakuwa vibaya kiasi gani
kwa mtumwa kuwatawala wakuu. 11Hekima ya mtu humpa uvumilivu,
ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. 12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba,
bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.