Native Bible

Proverbs 19:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa.

Proverbs 19:11 in English

Proverbs 19:11 · Berean Standard Bible

A man’s insight gives him patience, and his virtue is to overlook an offense.

Context

9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo ataangamia. 10Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu. 11Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. 12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 13Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye, naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.