Mithali 19:12
Proverbs 19:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi.
Proverbs 19:12 in English
Proverbs 19:12 · Berean Standard Bible
A king’s rage is like the roar of a lion, but his favor is like dew on the grass.
Context
10Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa,
itakuwa vibaya kiasi gani
kwa mtumwa kuwatawala wakuu. 11Hekima ya mtu humpa uvumilivu,
ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. 12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba,
bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 13Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye,
naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha. 14Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi,
bali mke mwenye busara hutoka kwa Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.