Mithali 11:6
Proverbs 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haki ya wanyofu huwaokoa, bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya.
Proverbs 11:6 in English
Proverbs 11:6 · Berean Standard Bible
The righteousness of the upright delivers them, but the faithless are trapped by their own desires.
Context
4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu,
bali haki huokoa kutoka mautini. 5Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka,
bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe. 6Haki ya wanyofu huwaokoa,
bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya. 7Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka;
yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu. 8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu,
naye mtu mwovu huingia humo badala yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.