Native Bible

Proverbs 11:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake.

Proverbs 11:8 in English

Proverbs 11:8 · Berean Standard Bible

The righteous man is delivered from trouble; in his place the wicked man goes in.

Context

6Haki ya wanyofu huwaokoa, bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya. 7Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu. 8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake. 9Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa. 10Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi; mwovu atowekapo, kuna kelele za furaha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.