Mithali 11:10
Proverbs 11:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi; mwovu atowekapo, kuna kelele za furaha.
Proverbs 11:10 in English
Proverbs 11:10 · Berean Standard Bible
When the righteous thrive, the city rejoices, and when the wicked perish, there are shouts of joy.
Context
8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu,
naye mtu mwovu huingia humo badala yake. 9Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu
humwangamiza jirani yake,
bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa. 10Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi;
mwovu atowekapo, kuna kelele za furaha. 11Kutokana na baraka ya mtu mnyofu mji hukwezwa,
bali kwa kinywa cha mwovu mji huharibiwa. 12Mtu asiye na akili humdharau jirani yake,
bali mtu mwenye ufahamu huuzuia ulimi wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.