Native Bible

Proverbs 11:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa.

Proverbs 11:9 in English

Proverbs 11:9 · Berean Standard Bible

With his mouth the ungodly man destroys his neighbor, but through knowledge the righteous are rescued.

Context

7Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu. 8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake. 9Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa. 10Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi; mwovu atowekapo, kuna kelele za furaha. 11Kutokana na baraka ya mtu mnyofu mji hukwezwa, bali kwa kinywa cha mwovu mji huharibiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.