Native Bible

Proverbs 11:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu.

Proverbs 11:7 in English

Proverbs 11:7 · Berean Standard Bible

When the wicked man dies, his hope perishes, and the hope of his strength vanishes.

Context

5Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe. 6Haki ya wanyofu huwaokoa, bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya. 7Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu. 8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake. 9Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.