Native Bible

Proverbs 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe.

Proverbs 11:5 in English

Proverbs 11:5 · Berean Standard Bible

The righteousness of the blameless directs their path, but the wicked fall by their own wickedness.

Context

3Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao. 4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, bali haki huokoa kutoka mautini. 5Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe. 6Haki ya wanyofu huwaokoa, bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya. 7Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.