Native Bible

Proverbs 11:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, bali haki huokoa kutoka mautini.

Proverbs 11:4 in English

Proverbs 11:4 · Berean Standard Bible

Riches are worthless in the day of wrath, but righteousness brings deliverance from death.

Context

2Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima. 3Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao. 4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, bali haki huokoa kutoka mautini. 5Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe. 6Haki ya wanyofu huwaokoa, bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.