Native Bible

Proverbs 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima.

Proverbs 11:2 in English

Proverbs 11:2 · Berean Standard Bible

When pride comes, disgrace follows, but with humility comes wisdom.

Context

1Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake. 2Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima. 3Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao. 4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, bali haki huokoa kutoka mautini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.