Native Bible

Proverbs 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake.

Proverbs 11:1 in English

Proverbs 11:1 · Berean Standard Bible

Dishonest scales are an abomination to the LORD, but an accurate weight is His delight.

Context

1Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake. 2Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima. 3Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.