Mithali 11:12
Proverbs 11:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu asiye na akili humdharau jirani yake, bali mtu mwenye ufahamu huuzuia ulimi wake.
Proverbs 11:12 in English
Proverbs 11:12 · Berean Standard Bible
Whoever shows contempt for his neighbor lacks judgment, but a man of understanding remains silent.
Context
10Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi;
mwovu atowekapo, kuna kelele za furaha. 11Kutokana na baraka ya mtu mnyofu mji hukwezwa,
bali kwa kinywa cha mwovu mji huharibiwa. 12Mtu asiye na akili humdharau jirani yake,
bali mtu mwenye ufahamu huuzuia ulimi wake. 13Masengenyo husaliti tumaini,
bali mtu mwaminifu hutunza siri. 14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka,
bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.