Native Bible

Proverbs 11:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika.

Proverbs 11:14 in English

Proverbs 11:14 · Berean Standard Bible

For lack of guidance, a nation falls, but with many counselors comes deliverance.

Context

12Mtu asiye na akili humdharau jirani yake, bali mtu mwenye ufahamu huuzuia ulimi wake. 13Masengenyo husaliti tumaini, bali mtu mwaminifu hutunza siri. 14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. 15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka, bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. 16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima, bali wanaume wakorofi hupata mali tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.