Mithali 11:16
Proverbs 11:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima, bali wanaume wakorofi hupata mali tu.
Proverbs 11:16 in English
Proverbs 11:16 · Berean Standard Bible
A gracious woman attains honor, but ruthless men gain only wealth.
Context
14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka,
bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. 15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka,
bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. 16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima,
bali wanaume wakorofi hupata mali tu. 17Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe,
bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe. 18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu,
bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.