Mithali 11:17
Proverbs 11:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe, bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe.
Proverbs 11:17 in English
Proverbs 11:17 · Berean Standard Bible
A kind man benefits himself, but a cruel man brings trouble on himself.
Context
15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka,
bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. 16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima,
bali wanaume wakorofi hupata mali tu. 17Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe,
bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe. 18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu,
bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. 19Mtu mwenye haki kweli kweli hupata uzima,
bali yeye afuatiliaye ubaya huendea kifo chake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.