Native Bible

Proverbs 11:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye haki kweli kweli hupata uzima, bali yeye afuatiliaye ubaya huendea kifo chake.

Proverbs 11:19 in English

Proverbs 11:19 · Berean Standard Bible

Genuine righteousness leads to life, but the pursuit of evil brings death.

Context

17Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe, bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe. 18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. 19Mtu mwenye haki kweli kweli hupata uzima, bali yeye afuatiliaye ubaya huendea kifo chake. 20Bwana huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu, bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama. 21Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, bali wenye haki watakuwa huru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.