Mithali 11:18
Proverbs 11:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika.
Proverbs 11:18 in English
Proverbs 11:18 · Berean Standard Bible
The wicked man earns an empty wage, but he who sows righteousness reaps a true reward.
Context
16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima,
bali wanaume wakorofi hupata mali tu. 17Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe,
bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe. 18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu,
bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. 19Mtu mwenye haki kweli kweli hupata uzima,
bali yeye afuatiliaye ubaya huendea kifo chake. 20Bwana huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu,
bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.