Hesabu 33:13
Numbers 33:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi.
Numbers 33:13 in English
Numbers 33:13 · Berean Standard Bible
They set out from Dophkah and camped at Alush.
Context
11Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. 12Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka. 13Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi. 14Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa. 15Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.