Native Bible

Numbers 33:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai.

Numbers 33:15 in English

Numbers 33:15 · Berean Standard Bible

They set out from Rephidim and camped in the Wilderness of Sinai.

Context

13Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi. 14Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa. 15Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai. 16Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava. 17Wakaondoka Kibroth-Hataava na kupiga kambi huko Haserothi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.