Native Bible

Numbers 33:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa.

Numbers 33:14 in English

Numbers 33:14 · Berean Standard Bible

They set out from Alush and camped at Rephidim, where there was no water for the people to drink.

Context

12Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka. 13Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi. 14Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa. 15Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai. 16Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.