Native Bible

Numbers 33:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka.

Numbers 33:12 in English

Numbers 33:12 · Berean Standard Bible

They set out from the Desert of Sin and camped at Dophkah.

Context

10Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. 11Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. 12Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka. 13Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi. 14Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.