Hesabu 33:10
Numbers 33:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu.
Numbers 33:10 in English
Numbers 33:10 · Berean Standard Bible
They set out from Elim and camped by the Red Sea.*
Context
8Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara. 9Wakaondoka Mara wakaenda Elimu, mahali ambapo palikuwa na chemchemi kumi na mbili na mitende sabini, huko wakapiga kambi. 10Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. 11Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. 12Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.