Hesabu 33:8
Numbers 33:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara.
Numbers 33:8 in English
Numbers 33:8 · Berean Standard Bible
They set out from Pi-hahiroth * and crossed through the sea, into the wilderness, and they journeyed three days into the Wilderness of Etham and camped at Marah.
Context
6Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. 7Wakaondoka Ethamu, wakageuka wakarudi Pi-Hahirothi, hadi mashariki ya Baal-Sefoni, wakapiga kambi yao karibu na Migdoli. 8Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara. 9Wakaondoka Mara wakaenda Elimu, mahali ambapo palikuwa na chemchemi kumi na mbili na mitende sabini, huko wakapiga kambi. 10Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.