Native Bible

Numbers 33:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa.

Numbers 33:6 in English

Numbers 33:6 · Berean Standard Bible

They set out from Succoth and camped at Etham, on the edge of the wilderness.

Context

4waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao Bwana alikuwa amewaua katikati yao, kwa kuwa Bwana alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao. 5Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi. 6Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. 7Wakaondoka Ethamu, wakageuka wakarudi Pi-Hahirothi, hadi mashariki ya Baal-Sefoni, wakapiga kambi yao karibu na Migdoli. 8Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.