Hesabu 33:5
Numbers 33:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi.
Numbers 33:5 in English
Numbers 33:5 · Berean Standard Bible
The Israelites set out from Rameses and camped at Succoth.
Context
3Waisraeli walisafiri kutoka Ramesesi katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza, siku iliyofuata Pasaka. Walitembea kwa ujasiri wazi mbele ya Wamisri wote, 4waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao Bwana alikuwa amewaua katikati yao, kwa kuwa Bwana alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao. 5Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi. 6Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. 7Wakaondoka Ethamu, wakageuka wakarudi Pi-Hahirothi, hadi mashariki ya Baal-Sefoni, wakapiga kambi yao karibu na Migdoli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.