Native Bible

Numbers 33:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaondoka Ethamu, wakageuka wakarudi Pi-Hahirothi, hadi mashariki ya Baal-Sefoni, wakapiga kambi yao karibu na Migdoli.

Numbers 33:7 in English

Numbers 33:7 · Berean Standard Bible

They set out from Etham and turned back to Pi-hahiroth, opposite Baal-zephon, and they camped near Migdol.

Context

5Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi. 6Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. 7Wakaondoka Ethamu, wakageuka wakarudi Pi-Hahirothi, hadi mashariki ya Baal-Sefoni, wakapiga kambi yao karibu na Migdoli. 8Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara. 9Wakaondoka Mara wakaenda Elimu, mahali ambapo palikuwa na chemchemi kumi na mbili na mitende sabini, huko wakapiga kambi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.