Native Bible

Numbers 33:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini.

Numbers 33:11 in English

Numbers 33:11 · Berean Standard Bible

They set out from the Red Sea and camped in the Desert of Sin.*

Context

9Wakaondoka Mara wakaenda Elimu, mahali ambapo palikuwa na chemchemi kumi na mbili na mitende sabini, huko wakapiga kambi. 10Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. 11Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. 12Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka. 13Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.