Native Bible

Numbers 33:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava.

Numbers 33:16 in English

Numbers 33:16 · Berean Standard Bible

They set out from the Wilderness of Sinai and camped at Kibroth-hattaavah.

Context

14Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa. 15Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai. 16Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava. 17Wakaondoka Kibroth-Hataava na kupiga kambi huko Haserothi. 18Wakaondoka Haserothi na kupiga kambi huko Rithma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.