Hesabu 3:16
Numbers 3:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Mose akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Bwana.
Numbers 3:16 in English
Numbers 3:16 · Berean Standard Bible
So Moses numbered them according to the word of the LORD, as he had been commanded.
Context
14Bwana akamwambia Mose katika Jangwa la Sinai, 15“Wahesabu Walawi kwa jamaa zao na koo zao. Mhesabu kila mwanaume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi.” 16Kwa hiyo Mose akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Bwana. 17Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi:
Gershoni, Kohathi na Merari. 18Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni:
Libni na Shimei.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.