Native Bible

Numbers 3:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose katika Jangwa la Sinai,

Numbers 3:14 in English

Numbers 3:14 · Berean Standard Bible

Then the LORD spoke to Moses in the Wilderness of Sinai, saying,

Context

12“Nimewatwaa Walawi kutoka miongoni mwa Waisraeli badala ya mzaliwa wa kwanza wa kiume wa kila mwanamke wa Mwisraeli. Walawi ni wangu, 13kwa kuwa wazaliwa wote wa kwanza ni wangu. Nilipowaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, nilimtenga kila mzaliwa wa kwanza katika Israeli awe wangu, akiwa mwanadamu au mnyama. Watakuwa wangu. Mimi ndimi Bwana.” 14Bwana akamwambia Mose katika Jangwa la Sinai, 15“Wahesabu Walawi kwa jamaa zao na koo zao. Mhesabu kila mwanaume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi.” 16Kwa hiyo Mose akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.