Native Bible

Numbers 3:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wahesabu Walawi kwa jamaa zao na koo zao. Mhesabu kila mwanaume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi.”

Numbers 3:15 in English

Numbers 3:15 · Berean Standard Bible

“Number the Levites by their families and clans. You are to count every male a month old or more.”

Context

13kwa kuwa wazaliwa wote wa kwanza ni wangu. Nilipowaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, nilimtenga kila mzaliwa wa kwanza katika Israeli awe wangu, akiwa mwanadamu au mnyama. Watakuwa wangu. Mimi ndimi Bwana.” 14Bwana akamwambia Mose katika Jangwa la Sinai, 15“Wahesabu Walawi kwa jamaa zao na koo zao. Mhesabu kila mwanaume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi.” 16Kwa hiyo Mose akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Bwana. 17Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.