Hesabu 3:17
Numbers 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari.
Numbers 3:17 in English
Numbers 3:17 · Berean Standard Bible
These were the sons of Levi by name: Gershon, Kohath, and Merari.
Context
15“Wahesabu Walawi kwa jamaa zao na koo zao. Mhesabu kila mwanaume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi.” 16Kwa hiyo Mose akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Bwana. 17Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi:
Gershoni, Kohathi na Merari. 18Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni:
Libni na Shimei. 19Koo za Wakohathi zilikuwa ni:
Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.