Native Bible

Numbers 3:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: Libni na Shimei.

Numbers 3:18 in English

Numbers 3:18 · Berean Standard Bible

These were the names of the sons of Gershon by their clans: Libni and Shimei.

Context

16Kwa hiyo Mose akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Bwana. 17Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. 18Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: Libni na Shimei. 19Koo za Wakohathi zilikuwa ni: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 20Koo za Wamerari zilikuwa ni: Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.