Native Bible

Numbers 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Koo za Wamerari zilikuwa ni: Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao.

Numbers 3:20 in English

Numbers 3:20 · Berean Standard Bible

And the sons of Merari by their clans were Mahli and Mushi. These were the clans of the Levites, according to their families.

Context

18Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: Libni na Shimei. 19Koo za Wakohathi zilikuwa ni: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 20Koo za Wamerari zilikuwa ni: Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao. 21Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wagershoni. 22Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.