Native Bible

Numbers 3:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wagershoni.

Numbers 3:21 in English

Numbers 3:21 · Berean Standard Bible

From Gershon came the Libnite clan and the Shimeite clan; these were the Gershonite clans.

Context

19Koo za Wakohathi zilikuwa ni: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 20Koo za Wamerari zilikuwa ni: Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao. 21Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wagershoni. 22Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500. 23Ukoo wa Wagershoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.