Native Bible

Numbers 26:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.

Numbers 26:19 in English

Numbers 26:19 · Berean Standard Bible

The sons of Judah were Er and Onan, but they died in the land of Canaan.

Context

17kutoka kwa Arodi, ukoo wa Waarodi; kutoka kwa Areli, ukoo wa Waareli. 18Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500. 19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani. 20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 21Wazao wa Peresi walikuwa: kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.