Hesabu 26:17
Numbers 26:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka kwa Arodi, ukoo wa Waarodi; kutoka kwa Areli, ukoo wa Waareli.
Numbers 26:17 in English
Numbers 26:17 · Berean Standard Bible
the Arodite clan from Arod,* and the Arelite clan from Areli.
Context
15Wazao wa Gadi kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Sifoni, ukoo wa Wasifoni;
kutoka kwa Hagi, ukoo wa Wahagi;
kutoka kwa Shuni, ukoo wa Washuni; 16kutoka kwa Ozni, ukoo wa Waozni;
kutoka kwa Eri, ukoo wa Waeri; 17kutoka kwa Arodi, ukoo wa Waarodi;
kutoka kwa Areli, ukoo wa Waareli. 18Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500. 19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.