Hesabu 26:16
Numbers 26:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka kwa Ozni, ukoo wa Waozni; kutoka kwa Eri, ukoo wa Waeri;
Numbers 26:16 in English
Numbers 26:16 · Berean Standard Bible
the Oznite clan from Ozni, the Erite clan from Eri,
Context
14Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200. 15Wazao wa Gadi kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Sifoni, ukoo wa Wasifoni;
kutoka kwa Hagi, ukoo wa Wahagi;
kutoka kwa Shuni, ukoo wa Washuni; 16kutoka kwa Ozni, ukoo wa Waozni;
kutoka kwa Eri, ukoo wa Waeri; 17kutoka kwa Arodi, ukoo wa Waarodi;
kutoka kwa Areli, ukoo wa Waareli. 18Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.