Native Bible

Numbers 26:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200.

Numbers 26:14 in English

Numbers 26:14 · Berean Standard Bible

These were the clans of Simeon, and there were 22,200 men.

Context

12Wazao wa Simeoni kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Nemueli, ukoo wa Wanemueli; kutoka kwa Yamini, ukoo wa Wayamini; kutoka wa Yakini, ukoo wa Wayakini; 13kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera; kutoka kwa Shauli, ukoo wa Washauli. 14Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200. 15Wazao wa Gadi kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Sifoni, ukoo wa Wasifoni; kutoka kwa Hagi, ukoo wa Wahagi; kutoka kwa Shuni, ukoo wa Washuni; 16kutoka kwa Ozni, ukoo wa Waozni; kutoka kwa Eri, ukoo wa Waeri;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.