Hesabu 26:12
Numbers 26:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao wa Simeoni kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Nemueli, ukoo wa Wanemueli; kutoka kwa Yamini, ukoo wa Wayamini; kutoka wa Yakini, ukoo wa Wayakini;
Numbers 26:12 in English
Numbers 26:12 · Berean Standard Bible
These were the descendants of Simeon by their clans: The Nemuelite clan from Nemuel,* the Jaminite clan from Jamin, the Jachinite clan from Jachin,
Context
10Ardhi ilifunua kinywa chake na kuwameza pamoja na Kora, ambaye wafuasi wake walikufa wakati moto ulipowateketeza wanaume 250. Nao walikuwa kama alama ya onyo. 11Pamoja na hayo, hao ukoo wa Kora hawakufa. 12Wazao wa Simeoni kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Nemueli, ukoo wa Wanemueli;
kutoka kwa Yamini, ukoo wa Wayamini;
kutoka wa Yakini, ukoo wa Wayakini; 13kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera;
kutoka kwa Shauli, ukoo wa Washauli. 14Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.