Native Bible

Numbers 26:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500.

Numbers 26:18 in English

Numbers 26:18 · Berean Standard Bible

These were the clans of Gad, and their registration numbered 40,500.

Context

16kutoka kwa Ozni, ukoo wa Waozni; kutoka kwa Eri, ukoo wa Waeri; 17kutoka kwa Arodi, ukoo wa Waarodi; kutoka kwa Areli, ukoo wa Waareli. 18Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500. 19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani. 20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.