Hesabu 26:20
Numbers 26:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera.
Numbers 26:20 in English
Numbers 26:20 · Berean Standard Bible
These were the descendants of Judah by their clans: The Shelanite clan from Shelah, the Perezite clan from Perez, and the Zerahite clan from Zerah.
Context
18Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500. 19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani. 20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela;
kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi;
kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 21Wazao wa Peresi walikuwa:
kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni;
kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli. 22Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.